99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wakitazama kupatwa kwa jua kikamilifu kote Amerika Kaskazini (11)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 09, 2024
Watu wakitazama kupatwa kwa jua kikamilifu kote Amerika Kaskazini
Kupatwa kwa jua kikamilifu kukionekana pichani huko Plano, Jimbo la Texas, Marekani, Aprili 8, 2024. (Picha na Dan Tian/Xinhua)

Kupatwa kwa jua kikamilifu kumetokea kote Amerika Kaskazini siku ya Jumatatu, ambapo wakaazi na wageni walikusanyika katika maeneo tofauti kwenye njia ya kupatwa huko kwa jua ili kutazama na kushangilia. Kupatwa huko kwa jua kikamilifu ambako kumepewa jina la utani la Kupatwa kwa Jua Kukubwa kwa Amerika kutokana na kupita kwake kwa urefu juu ya Amerika Kaskazini kumeonekana angani juu ya sehemu za Mexico, majimbo 15 ya Marekani na mashariki mwa Canada.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha