99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yaendelea kuandaliwa mkoani Hainan (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 09, 2024
Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yaendelea kuandaliwa mkoani Hainan
Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye Kituo cha Kimataifa cha Maonyesho na Mikutano cha Hainan, ambacho ni ukumbi mkuu wa Maonyesho yajayo ya nne ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE), huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Aprili 8, 2024. (Xinhua/Yang Guanyu)

Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yatafanyika huko Haikou, mji mkuu wa Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, kuanzia Aprili 13 hadi 18. Maonyesho hayo yatafanyika katika maeneo mbalimbali, huku Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Hainan kikitumika kuwa ukumbi mkuu wa maonesho hayo. Maonyesho hayo yataangazia maonyesho yenye mada maalum kuhusu mashua na boti, manunuzi ya bidhaa za afya na kadhalika. Chapa zaidi ya 3,000 kutoka nchi na maeneo 59 zitashiriki katika maonyesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha