99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ujenzi wa kituo cha uzalishaji na usambazaji wa hidrojeni cha Sany wakamilika huko Changsha, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 21, 2024
Ujenzi wa kituo cha uzalishaji na usambazaji wa hidrojeni cha Sany wakamilika huko Changsha, China
Picha hii iliyopigwa tarehe 20 Machi 2024 ikionyesha kituo cha kuzalisha na kusambaza hidrojeni cha Kundi la Kampuni za Sany huko Changsha, mji mkuu wa Mkoa wa Hunan, katikati ya China.

Kikiwa kimeanzishwa katika eneo la maendeleo ya kiuchumi la Changsha, China, kituo cha uzalishaji na usambazaji wa hidrojeni cha Kundi la Kampuni za Sany la China ujenzi wake umekamilika na kuwa na uwezo wa kimsingi wa kutoa huduma.

Kikiwa na uwezo wa kila siku wa kuzalisha si chini ya tani mbili za hidrojeni kwa siku, kituo hicho kinaweza kujaza hidrojeni kwa magari manne yanayotumia hidrojeni kwa wakati mmoja. (Xinhua/Chen Zeguo)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha