99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mradi wa upitishaji umeme wa 1,000kV wa Sichuan-Chongqing waendelea kujengwa nchini China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 18, 2024
Mradi wa upitishaji umeme wa 1,000kV wa Sichuan-Chongqing waendelea kujengwa nchini China
Picha iliyopigwa Machi 17, 2024 ikionesha mafundi wakifanya kazi kwenye sehemu ya ujenzi wa Mradi wa upitishaji umeme wenye uwezo wa 1,000kV wa Sichuan-Chongqing katika Kitongoji cha Shaoyun cha eneo la Tongliang, Mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa China.

Mradi wa upitishaji umeme wenye uwezo wa 1,000kV wa Sichuan-Chongqing utahusisha stesheni nne za kupozea umeme wenye volteji ya juu sana (UHV) katika Mji wa Chongqing na mkoa jirani wake wa Sichuan nchini China. Mradi huo utakapokamilika, nishati ya umeme ya bilioni 35 kWh itapitishwa kila mwaka. (Xinhua/Huang Wei)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha