99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mji wa Yichun, Kaskazini Mashariki mwa China waendeleza tasnia ya uchongaji wa vinyago ili kukuza uchumi (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 18, 2024
Mji wa Yichun, Kaskazini Mashariki mwa China waendeleza tasnia ya uchongaji wa vinyago ili kukuza uchumi
Mfanyakazi akipaka rangi kwenye sehemu ya kazi ya sanaa ya gogo la mti katika karakana huko Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Machi 14, 2024.

Mji wa Yichun katika Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China umetumia kwa tija rasilimali yake kubwa ya misitu kusukuma maendeleo ya tasnia ya vinyago vya magogo ya miti katika miaka ya hivi karibuni. Umefanya juhudi kuongeza ufundi wa uchongaji vinyago wa wafanyakazi, kuelimisha vipaji na kupanua ushawishi wa chapa ili kuongeza ukuaji wa uchumi wa mji huo. (Xinhua/Xie Jianfei)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha