99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yaongeza kasi ya ujenzi wa Bandari ya Biashara Huria ya Hainan (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 15, 2024
China yaongeza kasi ya ujenzi wa Bandari ya Biashara Huria ya Hainan
Mfanyakazi wa Kampuni ya Matengenezo ya Ndege ya Grand China (GCAM) akifanya kazi kwenye sehemu ilipo ndege iliyoingia nchini China kwenye kituo cha matengenezo ya ndege katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Machi 11, 2024. (Xinhua/Zhang Liyun)

HAIKOU - Katika kipindi cha miaka kadhaa iliyopita, China imepata maendeleo kwa hatua madhubuti katika kujenga bandari ya biashara huria ya kiwango cha juu (FTP) katika Mkoa wa Hainan ambao ni mkoa wake wa visiwa, kusini mwa China. Miradi mikubwa katika mkoa huo inaendelea kujengwa kama ilivyopangwa kwa utaratibu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha