99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kituo cha kuotesha miche kwa teknolojia za akili mnemba chaongeza ufanisi wa kilimo cha majira ya mchipuko Chongqing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 14, 2024
Kituo cha kuotesha miche kwa teknolojia za akili mnemba chaongeza ufanisi wa kilimo cha majira ya mchipuko Chongqing, China
Mfanyakazi akikagua ukuaji wa miche kwenye kituo cha kuotesha miche kwa teknolojia za akili mnemba katika Kijiji cha Shuangxing cha Mji wa Xianlong, Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Machi 12, 2024. (Xinhua/Huang Wei)

CHONGQING – Kikiwa na eneo lenye ukubwa wa jumla wa mita za mraba 4,608, kituo cha kuotesha miche ya mimea ya mazao kwa kutumia teknolojia za akili mnemba katika Kijiji cha Shuangxing cha Mji wa Xianlong, Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China kimeongeza sana ufanisi wa kilimo cha majira ya mchipuko. Kituo hicho kinaotesha miche ya mpunga yenye kuweza kupandikizwa kwenye ardhi yenye ukubwa wa hekta 800 kwa mwaka, kikisaidia wakulima wenyeji kuongeza mapato.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha