99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2024
Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China
Picha iliyopigwa Machi 6, 2024 ikionyesha mashine za kilimo zikinyunyizia viua wadudu kwenye shamba la ngano katika Kijiji cha Shuangmiao cha Tarafa ya Hushan ya Mji wa Rongcheng, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Picha na Li Xinjun/Xinhua)

Wakulima katika mikoa mingi ya China wako katika pilika nyingi mashambani kwa ajili ya ulimaji, upandaji wa mbegu na shughuli nyingine za kilimo cha majira ya mchipuko.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha