99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Teknolojia ya hali ya juu kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Simu za Mikononi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 01, 2024
Teknolojia ya hali ya juu kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Simu za Mikononi
Mtembeleaji akitazama kompyuta kibao mpya ya Nubia 5G+ 3D ya akili badia kwenye kibanda cha Kampuni ya ZTE katika Mkutano wa kimataifa wa mawasiliano ya simu za mikononi wa Mwaka 2024 huko Barcelona, Hispania Februari 28.

Mkutano wa kimataifa kuhusu mawasiliano ya simu za mikononi wa Mwaka 2024 umefanyika kwa siku nne kuanzia Februari 26 hadi Februari 29 huko Barcelona, Hispania. (Picha na Gao Jing/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha