99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wa kabila la Wagelao washerehekea Sikukuu ya Maolong huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 21, 2024
Watu wa kabila la Wagelao washerehekea Sikukuu ya Maolong huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China
Watu wakishiriki kwenye onyesho la ngoma ya dragoni katika tamasha la "Siku ya Maolong" ya kabila la Wagelao katika Wilaya ya Shiqian, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Februari 20, 2024. (Xinhua/Yang Wenbin)

SHIQIAN - Sikukukuu ya Maolong, ambayo ni shughuli ya kitamaduni kwa watu wa kabila la Wagelao katika Tarafa ya Shiqian, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China na Sikukuu ya Taa za Kijadi, imeorodheshwa kama mojawapo ya rithi za kitamaduni zisizoshikika Mwaka 2006.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha