99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kanivali ya Shehuo yafanyika huko Xining, Kaskazini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2024
Kanivali ya Shehuo yafanyika huko Xining, Kaskazini Magharibi mwa China
Watoto wakifanya maonesho katika kanivali ya Shehuo mjini Xining, Mkoa wa Qinghai wa Kaskazini Magharibi mwa China, Februari 19, 2024. (Xinhua/Zhang Hongxiang)

Kanivali ya Shehuo ikiwa na washiriki zaidi ya 2,000 imefanyika huko siku ya Jumatatu.

Shehuo, ambayo ni sherehe ya jadi ya China, ni tamasha katika namna mbalimbali ikihusisha ngoma ya dragoni, ngoma ya simba, opera ya jadi ya Kichina, upigaji ngoma na maonesho mengine ya kijadi ambayo hubadilika badilika kulingana na maeneo tofauti.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha