Viwanda kote nchini China vyarejea uzalishaji hatua kwa hatua baada ya likizo ya sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2024
![]() |
Roboti zikifanya kazi kwenye karakana ya Ronma Solar katika Mji wa Jinhua, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Februari 19, 2024. (Xinhua/Xu Yu) |
Viwanda kote nchini China vimeanza shughuli zao za uzalishaji hatua kwa hatua baada ya likizo ya sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China kumalizika.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma