99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkoa wa Xizang, China wafungua maeneo ya utalii kwa umma bila tiketi ili kuhimiza utalii (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2024
Mkoa wa Xizang, China wafungua maeneo ya utalii kwa umma bila tiketi ili kuhimiza utalii
Picha iliyopigwa Februari 8, 2014 ikionesha mandhari ya Ziwa Namtso katika Mkoa unaojiendesha wa Xizang, Kusini-Magharibi mwa China, Februari 8, 2024. (Xinhua/Sun Fei)

Maeneo maarufu ya utalii katika Mkoa wa Xizang, China kama vile Kasri la Potala, yamefunguliwa kwa umma bila tiketi hadi Machi 15, 2024, ikiwa ni sehemu ya kutangaza shughuli za utalii wa majira ya baridi wa mkoa huo.

Wakati wa kipindi cha kuhimiza utalii wa majira ya baridi, maeneo yote ya vivutio vya utalii vya kiwango cha A katika mkoa huo wa Xizang yatafunguliwa kwa umma bila tiketi, isipokuwa maeneo ya mahekalu. (Xinhua/Sun Fei)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha