99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Sherehe ya kipekee yafanyika kwa ajili ya Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa Tibet (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2024
Sherehe ya kipekee yafanyika kwa ajili ya Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa Tibet
Watoto wakitazama onyesho la kuchezea vikaragosi kwenye sherehe katika duka la vitabu mjini Lhasa, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, Kusini-Magharibi mwa China, Februari 3, 2024. (Picha na Tenzin Nyida/Xinhua)

Sherehe ya kipekee imefanyika siku ya Jumamosi katika duka la vitabu vya watoto katika Mji wa Lhasa, ambapo walimu walitambulisha na kufahamisha mila na desturi za kijadi za Mwaka Mpya wa Jadi wa Tibet. Kwenye sherehe hiyo, watoto waliovalia mavazi ya kijadi ya Kitibet walifurahia maonyesho ya muziki, maonyesho ya vikaragosi na utengenezaji wa kazi za mikono, pamoja na karamu ya "gutu", chakula cha kijadi cha supu kinachotengenezwa kwa unga wa ngano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha