99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Eneo la biashara huria la?Heihe?kaskazini zaidi mwa China lapata ongezeko kubwa la biashara ya nje

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 02, 2024
Eneo la biashara huria la?Heihe?kaskazini zaidi mwa China lapata ongezeko kubwa la biashara ya nje
Mfanyakazi akitafuta bidhaa kwenye kituo cha usafirishaji bidhaa katika Eneo la Majaribio ya Biashara Huria la Heihe la China Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Januari 31, 2024. (Xinhua/Xie Jianfei)

HEIHE – Mwaka 2023, Eneo la Majaribio ya Biashara Huria la Heihe la China Mkoani Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China lilishuhudia ongezeko kubwa la biashara ya nje, na kufikia biashara ya jumla ya kuagiza na kuuza nje bidhaa yenye thamani ya yuan bilioni 24.482 (kama dola bilioni 3.4 za Kimarekani), ambayo ni ongezeko la wastani ya kila mwaka asilimia 56.9.

Wakati huo huo, kampuni jumla ya 16 kutoka nje ziliwekeza katika eneo hilo, na kusababisha matumizi ya moja kwa moja ya mtaji wa kigeni wenye thamani ya jumla ya dola za Kimarekani milioni 1.273, ikiwa ni ongezeko la asilimia 27.3 mwaka hadi mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha