99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shamrashamra za mwaka mpya wa jadi wa China zazidi kuongezeka huko Xiamen, China (10)

By Wu Chaolan, Zhao Jian (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 01, 2024
Shamrashamra za mwaka mpya wa jadi wa China zazidi kuongezeka huko Xiamen, China

Wakati mwaka mpya wa jadi wa China unapokaribia, Mji wa Xiamen, Mkoa wa Fujian wa China unazidi kuwa na shamrashamra nyingi.

Mwaka ujao kwa kalenda ya kilimo ya China utakuwa mwaka wa dragon. Katika geti la Bustani ya Ardhi Oevu ya Wuyuanwan, mapambo ya mfano wa mnyama Dragoni mrefu na mwenye kuvutia yamewashangaza wakazi na watalii. Mwili wa dragoni huyo umeundwa na taa nyekundu za kijadi, ambazo ni za kipekee.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha