99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Utalii katika sehemu za makabila wastawisha Sanjiang Kusini mwa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 30, 2024
Utalii katika sehemu za makabila wastawisha Sanjiang Kusini mwa China
Wanakijiji wakipiga lusheng, ala ya zumari ya kupuliza, kwenye eneo la kivutio cha watalii katika wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang ya Mji wa Liuzhou katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China, Januari 28, 2024. (Xinhua/Huang Xiaobang)

Mwaka Mpya wa Jadi wa China unapokaribia, wafanyakazi katika maeneo yenye mandhari nzuri na wakazi katika vijiji vya Sanjiang, China wana pilika nyingi za kufanya mazoezi ya kuimba nyimbo na kucheza ngoma ili kukaribisha wageni.

Katika miaka ya hivi karibuni, Sanjiang imekuwa ikihimiza maendeleo unganishi ya shughuli za utamaduni na utalii. Sehemu hiyo ya Sanjiang ilivutia watalii milioni 9.01 mwaka jana, ikiingiza mapato ya yuan bilioni 9.6 (kama dola bilioni 1.34 za Marekani).?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha