99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonesho ya "Kupiga Chuma na Kutoa Fashifashi" yakaribisha mwaka mpya huko Chongqing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2024
Maonesho ya
Picha ikionyesha maonesho ya “Kupiga Chuma na Kutoa Fashifashi” yakiwa yamevutia wakazi wengi kuja kutazama. (Picha na Chen Jiaxin/Chinanews)

Usiku wa tarehe 26, Januari, maonesho ya “kupiga chuma na kutoa fashifashi”, ambayo ni urithi wa kiutamaduni usioshikika wa China yalifanyika kwenye mitaa ya Mji wa Chongqing, Katikati ya China, yakivutia wakazi wengi kwenda kuyatazama.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha