99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Bidhaa zenye umbo la Dragoni zapendwa kwenye maduka nchini China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2024
Bidhaa zenye umbo la Dragoni zapendwa kwenye maduka nchini China
Bidhaa za kitamaduni na za kibunifu za Dragoni zikioneshwa kwenye Jumba la Makumbusho ya Mfereji Mkuu wa Beijing, Januari 19, 2024. (Photo/VCG)

Wakati mwaka mpya wa jadi wa China, ambao ni mwaka unaowakilishwa na mnyama Dragoni kwa kalenda ya jadi ya China unapowadia, mauzo ya bidhaa zinazohusiana na myama Dragoni yanastawi huku kukiwa na shamrashamra ya sikukuu nchini kote.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha