99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Bandari ya Dalian, China yasafirisha nje ya nchi magari zaidi ya 100,000

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 17, 2024
Bandari ya Dalian, China yasafirisha nje ya nchi magari zaidi ya 100,000
Meli ya ro-ro ikipakia magari yatakayosafirishwa nchi za nje kwenye Bandari ya Dalian, Tarehe 16, Januari.

Idara ya Forodha ya Mji wa Dalian, China imetoa taarifa kuwa, mwaka 2023 magari 102,773 yalisafirishwa nje ya nchi kupitia Bandari ya Dalian, ikiwa ni ongezeko la asilimia 143 kuliko mwaka uliotangulia na kuweka rekodi mpya ya idadi kubwa.

(Picha na Chen Wei/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha