99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Taa za kupendeza za mapambo zaleta shamrashamra za mwaka mpya mkoani Shandong, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2024
Taa za kupendeza za mapambo zaleta shamrashamra za mwaka mpya mkoani Shandong, China
Picha iliyopigwa tarehe 4, Januari ikionesha maonesho kwenye Tamasha la Taa za Mapambo la Ziwa Yudai la Zibo 2024 mjini Zibo, Mkoa wa Shandong wa China.

Hivi karibuni, Tamasha la Taa za Mapambo la Ziwa Yudai la Zibo 2024 limefunguliwa kwenye Bustani ya Ziwa Yudai katika Mji wa Zibo, Mkoa wa Shandong, China. Tamasha hilo kwa jumla limeweka vikundi 60 vya taa kubwa za mapambo, na litaendelea hadi tarehe 11, Machi.

(Picha na Xu Suhui/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha