Bandari za China zawa na pilikapilika za usafirishaji mwanzoni mwa mwaka mpya (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2024
![]() |
Meli ya mizigo iliyobeba makontena ikitia nanga kwenye gati la makontena la Xindongfang la Bandari ya Lianyungang ya China, tarehe 3, Januari. (Picha na Geng Yuhe/Xinhua) |
Wakati mwaka mpya unapoanza, bandari mbalimbali nchini China ziko katika pilikapilika za kuingia na kutoka kwa meli na usafirishaji wa makontena.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma