99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkoa wa Heilongjiang, kivutio maarufu kwa utalii wa majira ya baridi nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 02, 2024
Mkoa wa Heilongjiang, kivutio maarufu kwa utalii wa majira ya baridi nchini China
Wahudumu wakipunga mikono kwa watalii kwenye eneo lenye mandhari nzuri la Kisiwa cha Sun mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Januari 1, 2024. (Xinhua/Zhang Tao)

Mkoa wa Heilongjiang ulioko Kaskazini-Mashariki mwa China una rasilimali nyingi za barafu na theluji, na hivyo kuufanya kuwa kivutio maarufu cha utalii wa majira ya baridi nchini China na umevutia watalii wengi kutoka ndani na nje ya nchi hiyo wakati wa likizo ya Mwaka Mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha