99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maeneo ya kufundishia kwa muda yaanza madarasa katika mji uliokumbwa na tetemeko la ardhi wa Jishishan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
Maeneo ya kufundishia kwa muda yaanza madarasa katika mji uliokumbwa na tetemeko la ardhi wa Jishishan, China
Mwanafunzi akiingia katika darasa la muda katika Mji wa Liugou wa Wilaya inayojiendesha ya Makabila ya Wabon’an , Wadongxiang na Wasalar ya Jishishan, Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Desemba 27, 2023. Kwa kuchanganya mafunzo ya mtandaoni na nje ya mtandaoni, shule za msingi na za sekondari katika Wilaya ya Jishishan, Mkoa wa Gansu iliyokumbwa na tetemeko la ardhi hivi karibuni zimeanza tena masomo wiki hii. Maeneo zaidi ya 150 ya mafunzo kwa muda yameanza madarasa. (Xinhua/Fan Peishen)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha