99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Reli ya Mwendo kasi ya HSR nchini Indonesia yasafirisha abiria zaidi ya 1,000,000

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 26, 2023
Reli ya Mwendo kasi ya HSR nchini Indonesia yasafirisha abiria zaidi ya 1,000,000
Abiria wakitumia tikiti zao kuingia kwenye Kituo cha Halim katika Jakarta, Indonesia, Desemba 25, 2023.

Tarehe 25 Kampuni ya China State Railway ilisema kuwa hadi Desemba 24, reli ya mwendo kasi ya Jakarta-Bandung (HSR) nchini Indonesia ambayo ni mradi wa ushirikiano wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” kati ya China na Indonesia imesafirisha abiria zaidi ya 1,000,000. (Picha na Xu Qin/Xinhua )

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha