99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Uvunaji wa mboga mboga katika Mkoa wa Yunnan, Kusini Magharibi mwa China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 19, 2023
Uvunaji wa mboga mboga katika Mkoa wa Yunnan, Kusini Magharibi mwa China
Wafanyakazi wakifungasha maharage ya kijani kwenye hifadhi baridi ya kampuni ya biashara ya kilimo katika Mji wa Jinghong wa Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China, Desemba 17, 2023. (Picha na Li Yunsheng/Xinhua)

Wakulima na kampuni zinazojihusisha na biashara ya mboga mboga katika Mkoa wa Yunnan, wako katika pilika pilika nyingi za kuvuna mazao ya mboga mboga ili kuyasambaza katika masoko mbalimbali. Mkoa huo wa Yunnan ni kituo muhimu cha kukuza na kusafirisha mboga mboga wakati wa majira ya baridi nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha