99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Rais Xi Jinping wa China afanya ziara ya ukaguzi mjini Laibin mkoani Guangxi (7)

(CRI Online) Desemba 15, 2023
Rais Xi Jinping wa China afanya ziara ya ukaguzi mjini Laibin mkoani Guangxi
(Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua)

Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara ya ukaguzi mjini Laibin mkoani Guangxi siku ya Alhamisi mchana ambapo ametembelea bustani ya taifa ya kilimo cha kisasa ya mji wa Laibin, kituo cha miwa bora ya kutengeneza sukari cha Huang’an na kampuni ya sukari ya Fenghuang ya Kundi la Kampuni za Dongtang, ili kufahamu kuhusu hali ya uzalishaji wa mbegu za miwa, upandaji na uvunaji wa miwa na maendeleo ya tasnia ya sukari.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha