99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kufanya kazi kwenye theluji ili kuhakikisha usalama wa watu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2023
Kufanya kazi kwenye theluji ili kuhakikisha usalama wa watu
Mfanyakazi wa mfumo wa kupitisha treni relini wa Shirika la Reli la China, Tawi la Zhengzhou akikabiliana na theluji ili kukagua treni, Desemba 14.

Maeneo mengi ya China yanaendelea kukumbwa na mvua na theluji kubwa na hali ya hewa yenye baridi kali. Siku ya Alhamisi, Desemb 14, Idara ya Hali ya Hewa ya Taifa ya China ilitoa tahadhari ya rangi ya chungwa kuhusu mawimbi ya baridi kali, tahadhari ya njano kwa theluji na barafu kubwa, na tahadhari ya bluu kwa upepo mkali. Idara husika katika maeneo mbalimbali zimepanga wafanyakazi kuondoa theluji ili kuhakikisha usalama.

(Picha na Jia Peng/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha