99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkutano wa Viwanda vya Teknolojia ya Akili Bandia Duniani Mwaka 2023 wafunguliwa Nanjing, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2023
Mkutano wa Viwanda vya Teknolojia ya Akili Bandia Duniani Mwaka 2023 wafunguliwa Nanjing, China
Watembeleaji wa maonyesho wakitazama roboti ya kuandika maandishi ya Lugha ya Kichina, kaligrafia, tarehe 6, Desemba.

Mkutano wa Viwanda vya Teknolojia ya Akili Bandia Duniani Mwaka 2023 umefunguliwa mjini Nanjing, China siku ya Jumatano, Desemba 6. Kwenye mkutano huo maonyesho ya ana kwa ana ukumbini yamefanyika, yakivutia ushiriki wa kampuni zaidi ya 390 kutoka nchi na maeneo 10, zikionesha mafanikio mapya zaidi, teknolojia mpya na bidhaa bora katika nyanja ya viwanda vya teknolojia ya akili bandia.

(Picha na Fang Dongxu/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha