99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Madaraja maarufu yaleta ukuaji wa uchumi, vivutio vya utalii katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2023
Madaraja maarufu yaleta ukuaji wa uchumi, vivutio vya utalii katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China
Picha hii iliyopigwa kutoka angani Desemba 6, 2023 ikionyesha daraja kuu la Pingtang katika Wilaya ya Pingtang, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Yang Ying)

Kutokana na idadi kubwa ya madaraja, usanifu wao wa aina mbalimbali, na teknolojia ngumu zinazotumika katika ujenzi wa madaraja hayo, Mkoa wa Guizhou ulioko Kusini-Magharibi mwa China unajulikana kama "makumbusho ya madaraja ya Dunia." Kwa miaka mingi, mkoa huo umeendeleza shughuli za utalii kutokana na vivutio vya madaraja hayo na kuongeza ukuaji wa uchumi wake.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha