99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Katika picha: Bandari ya Luoyu katika Ghuba ya Meizhou mkoani Fujian, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023
Katika picha: Bandari ya Luoyu katika Ghuba ya Meizhou mkoani Fujian, China
Picha hii ya angani iliyopigwa Novemba 29, 2023 ikionyesha Bandari ya Luoyu kwenye Ghuba ya Meizhou katika Mji wa Putian, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Bandari ni sehemu muhimu ya shughuli za kiuchumi katika mkoa wa pwani wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, mkoa ambao ni kiini katika ujenzi wa Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21. Mkoa huo wa Fujian umeshuhudia kuongezeka kwa uwezo wake katika kuhudumia Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha