99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Eneo la Kijani la Mkutano wa Tabianchi wa COP28 lafunguliwa kwa umma mjini Dubai (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 04, 2023
Eneo la Kijani la Mkutano wa Tabianchi wa COP28 lafunguliwa kwa umma mjini Dubai
Mtu akitumia simu kuskani msimbo wa QR ili kufungua skuta kwenye Eneo la Kijani la Mkutano wa 28 wa Nchi Watia Saini wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), mjini Dubai, Falme za Kiarabu, Desemba 3, 2023. (Xinhua/Wang Dongzhen)

Eneo la Kijani la Mkutano wa 28 wa Nchi Watia Saini wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) limefunguliwa rasmi kwa umma katika Mji wa Maonyesho wa Dubai nchini Falme za Kiarabu, siku ya Jumapili, Desemba 3, 2023.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha