99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Habari picha ya eneo la maonyesho ya mnyororo wa kilimo cha kijani kwenye Maonyesho ya Mnyororo wa Ugavi ya China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 01, 2023
Habari picha ya eneo la maonyesho ya mnyororo wa kilimo cha kijani kwenye Maonyesho ya Mnyororo wa Ugavi ya China
Watu wakitembelea eneo la maonyesho ya mnyororo wa kilimo cha kijani kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Mnyororo wa Ugavi ya China (CISCE) mjini Beijing, China, Novemba 30, 2023. (Xinhua/Ren Chao)

Eneo la bidhaa za mnyororo wa kilimo cha kijani linajikita katika viunganishi muhimu, teknolojia na bidhaa muhimu za mnyororo wa viwanda vya kilimo, utafiti na uendelezaji wa mbegu, matumizi ya kilimo cha kisasa, mashine na vifaa vya teknolojia za kisasa za kilimo, bidhaa za kilimo zilizosindikwa, na huduma husika za mambo ya fedha na uchukuzi.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha