99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kampuni za kutengeneza maringi ya magurudumu ya pikipiki katika Mji wa Chongqing nchini China zajizatiti kuboresha viwanda (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 01, 2023
Kampuni za kutengeneza maringi ya magurudumu ya pikipiki katika Mji wa Chongqing nchini China zajizatiti kuboresha viwanda
Roboti ikifanya kazi ya kusawazisha ringi la gurudumu lililokamilika uzalishaji wake kwa nusu kwenye mstari wa kiwanda cha kuzalisha kiotomatiki maringi ya magurudumu cha kampuni inayoongoza kutengeneza maringi ya magurudumu ya pikipiki katika Wilaya ya Dianjiang ya Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Novemba 28, 2023. (Xinhua/Liu Chan)

Mji wa Chongqing ulioko Kusini-Magharibi mwa China ni mojawapo ya vituo muhimu vya uzalishaji na usafirishaji wa sehemu za pikipiki nchini China. Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Dianjiang ya mji wa Chongqing imeongoza kampuni zake za uzalishaji wa maringi ya magurudumu ya pikipiki kutegemea uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia ili kuendeleza uboreshaji wa viwanda.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha