99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wilaya ya?Huimin katika Mkoa wa Shandong nchini China yaendeleza tasnia ya wavu wa kamba (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 23, 2023
Wilaya ya?Huimin katika Mkoa wa Shandong nchini China yaendeleza tasnia ya wavu wa kamba
Mwanamke akifanya kazi kwenye karakana ya kampuni moja katika Mji mdogo wa Lizhuang ulioko Wilaya ya Huimin katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Novemba 22, 2023. (Xinhua/Guo Xulei)

Wilaya ya Huimin katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China ina kampuni zaidi ya 1,300 zinazozalisha bidhaa za wavu na kamba, ambazo hutumika sana katika ujenzi, michezo na tasnia nyinginezo. Kuanzia Mwezi Januari hadi Oktoba mwaka huu, tasnia hii katika Huimin imeshaingiza mapato yenye thamani ya yuan zaidi ya bilioni 21.7 (sawa na dola bilioni 3.03 za Marekani).

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha