99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Katika Picha: Urejeshaji wa mazingira ya asili ya Mto Panxi wazaa matunda katika Mji wa Chongqing, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2023
Katika Picha: Urejeshaji wa mazingira ya asili ya Mto Panxi wazaa matunda katika Mji wa Chongqing, China
Picha hii iliyopigwa kutoka angani Novemba 16, 2023 ikionyesha mandhari ya Mto Panxi katika Eneo la Yubei la Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Wang Quanchao)

CHONGQING - Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Yubei iliyoko katika Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China imeendelea kuhamasisha urejeshaji wa mazingira ya asili yanayozunguka Mto Panxi. Kiwango cha ubora wa maji ya mto huo kimeimarika kwa kiasi kikubwa na maeneo yanayozunguka mto huo yamekuwa kivutio kikubwa cha watalii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha