99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Karamu ya kwenye meza ndefu ya mtaani yafanyika katika tamasha la utalii wa kitamaduni mkoani Yunnan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 20, 2023
Karamu ya kwenye meza ndefu ya mtaani yafanyika katika tamasha la utalii wa kitamaduni mkoani Yunnan, China
Picha hii ya iliyopigwa kutoka angani Novemba 19, 2023 ikionyesha mandhari ya Wilaya ya Luchun iliyoko eneo linalojiendesha la Makabila ya Wahani na Wayi la Honghe katika Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Chen Xinbo)

Karamu ya kwenye meza ndefu ya mtaani, ambayo ni utamaduni unaoheshimiwa kwa muda mrefu wa kabila la Wahani nchini China, imefanyika katika Wilaya ya Luchun iliyoko eneo linalojiendesha la Makabila ya Wahani na Wayi la Honghe katika Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China wakati wa tamasha la utalii wa kitamaduni siku ya Jumapili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha