99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Waandishi wa Habari wa nchi mbalimbali watembelea Shenzhen, China: Bustani ya “Bahari ya Mawingu” (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2023
Waandishi wa Habari wa nchi mbalimbali watembelea Shenzhen, China: Bustani ya “Bahari ya Mawingu”
"Chumba cha kusoma vitabu angani".

Katika eneo la Yantian la Mji wa Shenzhen wa China, kuna bustani inayoitwa “Bahari ya Mawingu” iliyopo sehemu ya mtelemko wa mlima yenye urefu wa mita 380 kutoka usawa wa bahari. Bustani hiyo ikiwa ni kivutio kipya cha mji huo kilichovutia ufuatiliaji mkubwa wa wakazi mtandaoni, kinawawezesha watembeleaji kutazama mandhari ya milima na bahari, au kufurahia kusoma vitabu kimyakimya kwenye “chumba cha kusoma vitabu angani”. Tarehe 16, Novemba, ujumbe wa waandishi wa habari wa nchi mbalimbali wa People’s Daily Online ulikwenda kwenye bustani hiyo, ili kuhisi maisha ya polepole ya Shenzhen.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha