99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Katika picha: Teknolojia za hali ya juu zinazoonyeshwa kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2023
Katika picha: Teknolojia za hali ya juu zinazoonyeshwa kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
Mtembeleaji wa maonyesho akitazama kiwanda cha kupanda mimea cha Kampuni ya Siemens kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 9, 2023. (Xinhua/Chen Shuo)

Kuanzia roboti mbalimbali zinazotumia teknolojia za akili bandia kama vile roboti mbwa, magari yanayojiendesha yenyewe, uvumbuzi wa upandaji mimea ya kilimo hadi mifumo ya vifaa tiba vya kisasa, teknolojia za hali ya juu zimewavutia watembeleaji wengi kwenye mabanda mbalimbali ya Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaliyofanyika Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 5 na yamepangwa kukamilika leo Ijumaa, Novemba 10.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha