99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Picha: Roboti zenye teknolojia za Akili Bandia (AI) kwenye Maonesho ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2023
Picha: Roboti zenye teknolojia za Akili Bandia (AI) kwenye Maonesho ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
Watembeleaji wa maonyesho wakijaribu kuwasiliana na roboti mbwa anayetumia akili bandia (AI) kwenye eneo la mabanda ya teknolojia na vifaa la Maonesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), tarehe 7, Novemba.

Mabanda yanayoonesha teknolojia za akili bandia (AI) kwenye eneo la teknolojia na vifaa la Maonesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamevutia watembeleaji wengi wa maonyesho wakitaka kupata uzoefu wa matumizi na kuchangamana na roboti, Novemba 7, 2023. (Picha na Zhang Jiansong/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha