99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Reli ya mwendokasi ya Jakarta-Bandung yakaribishwa na abiria nchini Indonesia (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2023
Reli ya mwendokasi ya Jakarta-Bandung yakaribishwa na abiria nchini Indonesia
Watu wakipiga picha katika Stesheni ya Reli ya Halim mjini Jakarta, Indonesia, Novemba 5, 2023. (Xinhua/Xu Qin)

Reli ya Mwendokasi ya Jakarta-Bandung (HSR), inayounganisha Mji wa Jakarta na Mji wa Bandung ambao ni mji wa nne kwa ukubwa nchini Indonesia, ni mradi kinara unaounganisha Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) la China na mkakati wa Indonesia wa Egemeo la Baharini la Dunia.

Kuanzia Oktoba 17 hadi Oktoba 31, idadi kubwa ya abiria wa kila siku kwenye reli hiyo ilizidi 14,200. Tiketi zaidi ya 165,000 ziliuzwa kuanzia Oktoba 17 hadi Novemba 4. Reli hiyo imeongeza ratiba yake hadi usafiri wa treni 28 kwa siku, kutoka usafiri wa treni 14 za awali, kuanzia Novemba 1.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha