99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Picha: Bidhaa zenye rangi ya kuvutia macho kwenye Maonyesho ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2023
Picha: Bidhaa zenye rangi ya kuvutia macho kwenye Maonyesho ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
Picha ilipigwa tarehe 5, Novemba ikionesha matunda ya joka ya njano kutoka Ecuador kwenye eneo la chakula na mazao ya kilimo la Maonyesho ya CIIE. (Picha na Weng Qiyu/People’s Daily Online Swahili)

Maonyesho ya sita ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yameanza jana Jumapili mjini Shanghai na yamepangwa kuendelea kufanyika hadi tarehe 10, Novemba. Kuanzia maskoti rasmi wa maonyesho hayo, panda Jin Bao, matunda ya joka ya njano kutoka Ecuador na kazi za sanaa zenye umbo la kipepeo ambazo ni rafiki kwa mazingira……bidhaa zenye rangi za kuvutia zilizoletwa na kampuni washiriki zimevutia macho ya watembeleaji wengi wa maonyesho.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha