99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Teknolojia za hali ya juu na bidhaa mpya zaonekana kwa mara ya kwanza kwenye Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2023
Teknolojia za hali ya juu na bidhaa mpya zaonekana kwa mara ya kwanza kwenye Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
Watembeleaji wa maonyesho wakitazama kahawa ya Honduras, ambayo inaingia kwenye soko la China kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 5, 2023. (Xinhua/Liu Ying)

Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yameanza kufanyika mjini Shanghai, Mashariki mwa China jana siku ya Jumapili, huku teknolojia nyingi za hali ya juu na bidhaa mpya zikionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye maonyesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha