99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kipindi cha?3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yafunguliwa Guangzhou

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 01, 2023
Kipindi cha?3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yafunguliwa Guangzhou
Mnunuzi kutoka nje ya China akitembelea banda la nguo kwenye kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China (Canton Fair) huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 31, 2023. Kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China, ambayo pia yanajulikana kwa jina la Maonyesho ya Canton, kimefunguliwa katika Mji wa Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China siku ya Jumanne na itaendelea hadi Novemba 4. Maonyesho hayo yanachukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 515,000. (Xinhua/Deng Hua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha