99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mji mdogo wa Hengdaohezi wenye majengo mengi ya kihistoria huko Hailin, Kaskazini Mashariki mwa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2023
Mji mdogo wa Hengdaohezi wenye majengo mengi ya kihistoria huko Hailin, Kaskazini Mashariki mwa China
Picha hii iliyoigwa Oktoba 3, 2023 ikionyesha Stesheni ya Reli ya Hengdaohezi katika mji mdogo Hengdaohezi huko Hailin, Mkoa wa Heilongjiang Kaskazini-Mashariki mwa China. (Xinhua/Wang Jianwei)

Katika mji huo mdogo uliojengwa Mwaka 1897, kuna majengo mengi ya kihistoria na uliwahi kupata Tuzo ya Mali ya Urithi wa Utamaduni wa Asia na Pasifiki iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Mwaka 2018.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha