99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Nafaka za majira ya mpukutiko zilizovunwa sehemu mbalimbali nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2023
Nafaka za majira ya mpukutiko zilizovunwa sehemu mbalimbali nchini China
Mkulima akipanga mahindi yaliyovunwa katika Kijiji cha Liunansu cha Wilaya ya Guangzong katika Mji wa Xingtai, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Oktoba 5, 2023. (Picha na Wang Lei/Xinhua)

Wizara ya Kilimo na Vijiji ya China imesema siku ya Alhamisi kwamba asilimia 42.2 ya nafaka zote za majira ya mpukutiko zimevunwa katika sehemu mbalimbali nchini China. Na mchele zaidi ya nusu wa msimu wa kati, asilimia zaidi ya 40 ya mahindi, na karibu asilimia 40 ya soya imevunwa hadi sasa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha