99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2023
Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China
Onyesho la ngoma ya dragoni likionyeshwa kwenye uwanja huko Haian, Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China mashariki, Oktoba 1, 2023. (Picha na Zhai Huiyong/Xinhua)

Watu kote nchini China wametembelea maeneo tofauti tofauti na kujipatia burudani kwa njia mbalimbali katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa la China ambayo imeadhimishwa jana Jumapili Oktoba 1 na itaendelea hadi Oktoba 6.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha