99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mradi wa Barabara ya Keffi unaofadhiliwa na China wawezesha shughuli za kiuchumi za wenyeji nchini Nigeria (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2023
Mradi wa Barabara ya Keffi unaofadhiliwa na China wawezesha shughuli za kiuchumi za wenyeji nchini Nigeria
Picha hii ya angani iliyopigwa Septemba 20, 2023 ikionyesha mandhari ya mradi wa Barabara ya Keffi nchini Nigeria. (Xinhua/Dong Jianghui)

Mradi wa Barabara ya Keffi nchini Nigeria, unaojengwa chini ya Mkandarasi wa Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC), unajumuisha ujenzi wa barabara kuu ya Abuja-Keffi na uunganishaji wa barabara ya Keffi-Akwanga-Lafia-Makurdi katikati mwa Nigeria. Ukiwa ulianza kujengwa Mwaka 2019 na kukamilika mwaka huu, mradi huo unawezesha shughuli za kiuchumi pamoja na kutoa fursa za ajira na utaalamu wa ujenzi wa barabara kwa wenyeji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha