99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya utamaduni wa China yafanyika Kigali, Rwanda (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2023
Maonyesho ya utamaduni wa China yafanyika Kigali, Rwanda
Mwanaume (kulia) akijaribu kuandika maandishi ya kaligrafia ya Lugha ya Kichina kwenye maonyesho ya utamaduni wa China yaliyofanyika Kigali, Rwanda, Septemba 23, 2023. (Picha na Huang Wanqing/Xinhua)

Mamia ya Wanyarwanda na Wachina wanaoishi Rwanda alasiri ya Jumamosi, Septemba 23, 2023 walihudhuria maonyesho ya utamaduni wa China yaliyojaa shughuli nyingi huko Kigali, Mji Mkuu wa Rwanda.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha