99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya 30 ya Teknolojia za Hali ya Juu za Kilimo ya Yangling, China yafunguliwa (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2023
Maonyesho ya 30 ya Teknolojia za Hali ya Juu za Kilimo ya Yangling, China yafunguliwa
Mwonyeshaji bidhaa wa Russia akitangaza bidhaa moja kwa moja mtandaoni kwenye Maonyesho ya 30 ya Teknolojia za Hali ya Juu za Kilimo ya Yangling China, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China, Septemba 19, 2023. (Xinhua/Zhang Bowen)

Chini ya kaulimbiu ya "afya ya udongo na usalama wa chakula," Maonyesho ya 30 ya Teknolojia za Hali ya Juu za Kilimo ya Yangling China yatakayofanyika kwa siku tano yameanza siku ya Jumanne.

Maonyesho hayo, ambayo yanahudhuriwa na washiriki zaidi ya 1,500 kutoka jumla ya nchi na maeneo 39, yanahusisha mafanikio ya ubunifu katika teknolojia ya hali ya juu ya kilimo, shughuli za mabadilishano, na kufanya mikutano na makongamano 11 pamoja na maonyesho manane, na kadhalika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha